Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 14. 02. 2025

--:--
Salama piya. Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 14.02.2025. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média kwa kwavyana na Mpango wa Amani na Usalama Cabo Delgado.

Viswa vikulu ya habari ndivi:

🔸 Cabu Delgadu ilitayarisha ndandu ya kubuka uluere wa Marburg inti jirani ya Tanzania

🔸 Mashababi wawonekana pakulu pepi na bala bala 380

🔸 Umoja wa kimataifa ungali tayari kwa kusaidiya Msumbiji kumanisa ugaidi.

Mpodi kusikiliza habari ezi kwa lugha ya Kizungu, Kimakuwa, Kimuani ema Kimakonde. Tumila ukurasa wa avoz.org ili utondole lugha ya usaka ema kwa njila za WhatsApp ema Telegrama.

Tifika mwisho ya habari ya mpango wa lelo mu shauty ya Cabo Delgado. Zidini kupata habariezi kwa njila ya ukurasa wa Facebook, WhatsApp, Telegrama na kwa Podcast ema kwa ukurasa wa internet avoz.org
15 Feb 3AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 02. 05. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 02.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Huduma ya umoja wa ulaya Kwa hatua za Nje inapinga kufutwa Kwa msaada wa Rwanda Inchi Mozambique 🔸 Tume ya Haki za kibinadamo…
3 May 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25. 04. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.04.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Harakati za kigaidi zinalazimisha masomo kusimamiswa Katika Shule 13 🔸 Ugaidi unalazimisha kufungwa Kwa Shule zaidi ya Shule 100 huko Cabo Delgado…
25 Apr 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 18. 04. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Majeshi wa Mozambique Awana dalili zozote kuhusu wanajeshi waliotekwa na magaide kwenye bara bara namber 380 🔸 Magaide wamefunga barabara namber 14 inayounganisha…
18 Apr 5AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 28. 03. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 28.03.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Mwanajeshi wa Kikosi Cha wagambo ameuwawa Wilaya ya Macomia 🔸 Gavana wa Cabo Delgado anawalinganisha…
28 Mar 12AM 13 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 21. 03. 2025

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.03.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Mzozo wa mafuta umeanza huko Cabo Delgado 🔸 Magaide waua mtu Moja Meluco 🔸…
21 Mar 5AM 10 min