
Isaya Edward lusana
Mimi ni mtangazaji wa redio mtandaoni kutoka Tanzania. Nachapisha vipindi mbalimbali vikiwemo muziki, mazungumzo, elimu na ujumbe wa jamii. Maudhui yangu yanalenga kuwafikia watu wengi zaidi duniani na kushiriki maarifa, burudani na ujumbe chanya
