Plural Media Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili
Daily Swahili South Africa Daily News
487 Episodes
60 – 80

Sauti Ya Cabo Delgado 30.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 30.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Jeshi la Africa kusini alitobaki Cabo Delgado Asema kiongozi wa SAMIM 🔸 Wilay ya Quisanga haikufikiya…
30 May 2024 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 28.05.2024

Habari gani ,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 28.05.2025 Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Misheni ya Mafunzo ya umoja wa ulaya iliongezwa hadi Juni 2026 🔸 Nusu ya wafanyabishara…
28 May 2024 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Mwanamke mwenye umri miaka 21 abakwa na watu wasiojulikana katika kisiwa cha Matemo. 🔸 Kutoroka kwa…
23 May 2024 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 21.05.2024

Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 21.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Nyusi anakiri kuwa ugaidi ungekuwa na sura wangepata suluhu ya mazungumzo 🔸 Mkurugenzu wa Total anawasiwasi…
21 May 2024 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 17.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 17.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Rwanda watuma kikosi kipya Cabo Delgado. 🔸 Human Right watch inashutumu ushiriki wa watoto katika shambulio…
17 May 2024 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 15.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 14.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi waacha maiti na alama za uharibifu katika Wilaya ya Macomia 🔸 Wanafursa waiba huko Macomia…
15 May 2024 12AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 09.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 09.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Majeshi wa Mozambique na wa Rwanda wanawafatilia Magaidi huko Nampula 🔸 Magaidi walioauwa na Majeshi wa…
9 May 2024 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado de 07.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 07 Mei,2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Nyusi asema ugaidi hauwezi kuhalalisha kukatizwa miradi ya Gesi 🔸 ADIN inachagua makampuni ya watu…
7 May 2024 2AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 02.05.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe,02.05.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Wilaya ya Chiure, aina njia ya kuwahamisha watu waliokimbia makazi yao hadi vituo Vya Mapokezi 🔸 Polisi…
3 May 2024 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 30.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 30.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Cabo Ligado inasasisha data ya Juu ya vifo katika shambulio la Palma mnamo 2021 🔸 SAMIM…
30 Apr 2024 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 25.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Shambulio lá ki gaidi wauwawa watu watatu wilaya ya Chiure 🔸 Magali yalikuwa ayazunguki katika sehemu…
25 Apr 2024 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 23.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Ofisi kuu ya Sheria wametoa ordha mpya ya Magaidi 🔸 Magaidi waachilia wanawake watatu wilaya ya…
23 Apr 2024 2AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Rubani wa Africa kusini na Polisi wa Mozambique wafariki katika ajali ya Ndege 🔸 Wanajeshi…
18 Apr 2024 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 16.04.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Majeshi wanaendelea mashambulizi didhi ya Magaidi wilaya ya Macomia. 🔸 Magaidi waua Raia watano Wilaya…
16 Apr 2024 1AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 12.04.2024, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi kusherekehea muisho wa Ramadhani pamoja na wakazi wa kagembe. 🔸 Semu ya Macomia na…
12 Apr 2024 3AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 09.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 09.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Wanajeshi wa SAMIM waanza kuondoka Cabo Delgado. 🔸 Ugumu wa usambazaji chakula unaendelea Mocimboa da Praia…
10 Apr 2024 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 04.04.2024

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, terehe 04.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Magaidi waweka milango Mucojo. 🔸 Kazi za ukarabati katika barabara ya Macomia oasse zimeanza. 🔸 Kitengo cha…
4 Apr 2024 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 02.04.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado, tarehe 02.04.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Askofo wa Pemba aalani uenezaji wa picha kuhusu ugaidi huko Cabo Delgado. 🔸 Maisha yamerudi kawaida…
2 Apr 2024 2AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 28.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 28.03.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Kutoka Kwa SAMIM kunapendelea magaidi, asema mtalamu 🔸 Achilia watu waliotekwa nyara na magaidi huko…
28 Mar 2024 1AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 26.03.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 26.03.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu: 🔸 Quissanga na Ibo wanasubir rasilimali kuletwa na ndege Kuanza sensa 🔸 Marekani inapanga kuchangia dola milioni…
26 Mar 2024 12AM 5 min
60 – 80