Sauti Ya Cabo Delgado 13.06.2024
Loading player...
Habari gani karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 13.06.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.
Vichwa vya Habari:
๐ธ Mashirika yasio ya kiserikali yasema yamepoteza pesa nyingi Katika mashambulizi ya Macomia
๐ธ Magaidi walijalibu kushambulia tena Mbau
๐ธ Mzunguko wa Magaidi wa waacha wakulima wa Ancuabe na hofu.
Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.
Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.
Plural Media habari Kwa lugha yako.