Sauti Ya Cabo Delgado 29.08.2024

--:--
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado.

Vichwa via Habari:

🔸 Waasi wazidisha matumizi ya vilipuzi huko Cabo Delgado

🔸 Serikali yanfunga mwangalizi wa CIP Kwa tuhuma za ugaidi

🔸 Watu wa Muidumbe wakabiliwa na Njaa Kali.

Pata habari kuhusu mzozo wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org.

Unaweza kupata Habari izi kupitia WhatsApp kila Jumanne na Alhamisse Kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 Kisha uchague lugha unayopendelea Kati ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.

Plural Media habari Kwa lugha yako.
29 Aug 2024 1AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 20. 06. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 20.06.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Magaidi 12 waliowaua na Majeshi huko Nairoto 🔸 Magaidi wanawalazimisha wachimba migode haramu wahache huko Meluco 🔸 Idade ya watu Wilaya ya…
20 Jun 2PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 13. 06. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 13.06.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Nkurugenzu mtendaji wa TotalEnergies anafanya nkutano ili kulipoti maswala ya usalama huko Afungi 🔸 Wanajeshi wawili waliowaua huko Muidumbe 🔸 Misaada ya kibinadamu…
13 Jun 3PM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 06. 06. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 06.06.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Mradi wa Mahendeleo ya miji ya kaskazini mwa Mozambique kuanza siku Chachi zijazo 🔸 Harakati za watu wadaodaiwa Kuwa magaide huwalazimisha wazalisha…
6 Jun 1PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 30. 05. 2025

Hábari, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 30.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Jeshi la wanamaji linashutumiwa Kwa uzembe Katika tukio la pwani ya Mocimboa da Praia. 🔸 Idade kubwa ya wakazi Palma wamerejeya Katika Wilaya hiyo tangu shambulio la…
30 May 4AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 23. 05. 2025

Hábari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 24.05.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa via Habari: 🔸 Angalau mahakama tano zimefunguliwa tena Cabo Delgado 🔸 Zaidi ya Madarasa 300 yakarabatiwa baada ya kimbunga Chido 🔸 Matukio ya kigaidi na hali…
23 May 3PM 4 min