Shauty Ya Cabo Delgado 29.08.2024
Loading player...
Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 29.08.2024. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média kwa kwavyana na kipinga tchitiwa Cabo Ligado.
Viswa vikulu ya habari ndivi:
🔸 Mashababi wengueza kutaya mina mbala bala Cabo Delgado
🔸 Mapuliciya wa UIR wanfunga mu kazi wa CIP kwa madai ya ushababi
🔸 Wanainchi wa Muidumbi wana njala ya kuzidi.
Zidini kiphata habari za mana za Cabo Delgado kwa njila ya ukurasa wa Facebook, Telegrama na kwa Podcast ema kwa ukurasa wa internet avoz.org
Sikilizani habari kamba ezi kwa lugha djiss djiss kwa kupeleka ujumbe mu WhatsApp kila Jummane na Alkhamisi kwa kutumila +258 843285766 ncaty ya lugha ya Kizungu, Kimakuwa, Kimakonde, Kimuani na Kiswahili ama Kijojo.
Plural Média-Habari kwa lugha yenu.