Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili - 18.10.2024
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 18.10.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
Vichwa vya Habari:
๐ธ Wanyarwanda wapeleka kikosi Cha Kijeshi Mucojo
๐ธ Watu wanawatuhumu wanajeshi Kwa kuwauwa madereva wawili wa pikipiki mji wa Pemba
๐ธ Wananchi wamewakamata Magaidi wawili Wilaya ya Mocimboa da Praia.
Tumefika Mwisho wa toleo hiili ya Avoz. Org ya Cabo Delgado pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast, au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa Avoz.org. Na unaweza kusikiliza habari izi kupitia, Radio Ya Wilaya ya Mueda, Montepuez ,na Palma, Luga ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, Kimuani na kiswahili.