Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25.10.2024
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 25.10.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
๐ธ Wachimbaji waliuawa baada ya Mapigado na police Katika migodi ya Ruby Huko Montepuez.
๐ธ Macomia na Quissanga sio tena maeneo yenye hatar kubwa, inahitibitisha ripoti ya umoja wa ulaya.
๐ธ Zaidi ya watu 500 waliokimbia makazi Yao walirejeya Katina maeneo yao ya asilli.
Pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast, au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa avoz.org.
Unaweza pia kusikiliza habari izi vituo vya Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez, na Palma Luga ya Kireno, kimakuwa, kimakonde, na Kimuani.