Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 08.11. 2024

Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 08.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media wa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.

Vichwa vya Habari:

🔸 Waasi Waua watu wawili Huko Muidumbe.

🔸 Mwaka wa Shule ulipotea Kwa wanafunzi wa Mazeze Huko Chuire.

🔸 Jeshi lá wanagambu linaendelea kulilia sílaha na vifa.

Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz .Org, ya Cabo Delgado,pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast, au tembelea habari zetu kwenye ukurasa wa avoz.org na unaweza kusikiliza habari izi kupitia,Redio za Kijami za Wilaya ya Mueda, Montepuez na Palma Luga ya Kireno, kimakuwa kimakonde na Kimuani.
11 Nov 3AM Swahili Mozambique Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 20.12. 2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 20.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Mecufe kumeharibiwa kabisa na kimbunga Chido. 🔸 Nyusi anawahomba wananchi waruhusu kampuni ya grafite…
20 Dec 2AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 13.12. 2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 13.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa via Habari: 🔸 Magaidi wamiaribu miundominu huko Muaguide 🔸 Polisi wanasema wandamanaji wa Pemba walitoka Nampula 🔸…
13 Dec 12AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 06.12.2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 06.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Watu waliokimbia makazi yao Huko Chiure wanalalamika njaa 🔸 Karibu vitengo elfu tano vya…
6 Dec 1AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29.11.2024

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 29.11.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Siricar wameruhusu watu waludi Mucojo. 🔸 Família wanawakimbia Magaidi Chiure 🔸 Viongizi via Kijeshi…
29 Nov 12AM 11 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22.11.2024

Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 22.11.2024.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu. Vichwa vya Habari: 🔸 Kikosi Cha Kijeshi Cha Namparama waliuawa Huko Ancuabe 🔸 Majeshi wa FADM wamenusuru mji wa…
22 Nov 2AM 10 min