Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 20.12. 2024
Loading player...
Habari gani, Karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado terehe 20.12.2024. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Amani na utulivu.
Vichwa via Habari:
๐ธ Mecufe kumeharibiwa kabisa na kimbunga Chido.
๐ธ Nyusi anawahomba wananchi waruhusu kampuni ya grafite Kuanza kazi tena .
๐ธ Magaidi wakata vichwa watu wawili huko Muidumbe.
Tumefika Mwisho wa toleo hiili la Avoz.org ya Cabo Delgado pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram na program yoyote ya podcast,na unaweza kusikiliza habari izi kupitia Redio za Kijami ya Mueda, Montepuez na Palma, Luga ya Kireno, kimakuwa, kimakonde na Kimuani.