Shauty Ya Cabo Delgado Kimwani 20. 06. 2025
--:--
Salama piya. Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 20.06.2025. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média
Viswa vikulu vya habari ndivi:
🔸 Mashababi 12 wolaiwa na madjeshi Nairoto
🔸 Mashababi wa watuisa wanu wasimba maali a pansi Meluco
🔸 Wanainchi wa Magomia wankulalamika kutumika siasa ncati ya misada.
Mpodi kusikiliza habari ezi kwa lugha ya Kizungu, Kimakuwa, Kimuani ema Kimakonde na Kijojo. Tumila ukurasa wa avoz.org ili utondole lugha ya usaka ema kwa njila za WhatsApp na Telegrama.
Tifika mwisho ya habari ya mpango wa lelo mu Shauty ya Cabo Delgado. Zidini kupata habari ezi kwa njila ya ukurasa wa Facebook, WhatsApp, Telegrama na kwa Podcast ema kwa ukurasa wa internet avoz.org